ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 26, 2012

MAZOEZI DMV KUANZA RASMI lLEO JUMAPILI MEADOWBROOK PARK



DC Nyarugusu (Timu ya Vijana)
Bongo Real (Timu ya Wazee)

Leo Jumapili Aug 26 baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadhani, mazoezi yataanza rasmi Meadowbrook park kaunzia 4:30 pm tafadhali zingatia muda na baada ya hapo tutatangaziwa siku gani nyingine katikati ya wiki tunatakiwa kufanya mazoezi.

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio

No comments: