Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bwa. Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani), kuhusiana na tukio zima la kamata kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliyofanyika mjini Dodoma.
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bwa. Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma, mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi wa kazi za wasanii, ambapo jumla ya Cd na Kompyuta zenye thamani ya shilingi milioni sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.
(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).
No comments:
Post a Comment