Waimbaji wa nyimbo za injili wa kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries, College Park, Maryland wakiimba wimbo katika Ibada ya kuwawekea mkono Wazee wa Kanisa, na Muinjilisti Celina Lyimo ambayo iliambatana na Mchungaji Ferdinand Shideko kuwaombea Watoto.
Kutoka kushoto ni Wachungaji John Mbatta, Zachee Suka-Bin-Panio, Peter Chege na Ferdinand Shideko.
Suka-Bin-Panio na Chege walikua Wachungaji waalikwa kutoka African Lighthouse Baptist Temple ya University Of Virginia.
Mchungaji John Mbatta akiongea jambo
Mchungaji Ferdinand Shideko akiongoza Ibada
Priscilla Mbatta akisoma neno
Watoto walioombewa wakiwa na wazazi wao.
Juu na chini ni Wazee wa kanisa waliowekewa mikono
Muinjilisti Celina Lyimo akila kiapo
Muinjilisti Celina Lyimo akipongezwa na kuvishwa shada la maua baada ya kuwekewa mikono
Mchungaji Ferdinand Shideko akiongea akiwaasa Wazee wa kanisa na muinjilisti Celina Lyimo kwamba kwenye shamba la Mungu hakuna kulala
Wazee wa Kanisa, Muinjilisti Celina Lyimo katika picha ya pamoja na Wachungaji
Muinjilisti Celina Lyimo (kulia) akipata picha ya pamoja na familia yake waliofika kanisani hapo kumshuhudia akiwekwa mikono.
Kwa picha zaidi bofya read more
1 comment:
congrats my mama "celina lyimo". yours Frank Lyimo.
Post a Comment