| Marriot Hotel Houston - Ulipofanyika mkutano wa CHADEMA |
| Wadau wa Houston - John na Mbowe |
| Mdau Abdulkarim na Katibu wa CDM Houston Nd.Mlay |
| Wadau wa Houston |
| Mdau wa Atlanta, Dada Linda ndani ya nyumba |
| Wadau wa Houston na Atlanta |
| Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
| Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
| Sehemu ya Wadau wa Houston wakisikiliza sera za Vua Gamba Vaa Gwanda |
| Wadau Sekulu na Himid |
| Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM |
| Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe |
| Mh.Mbowe na wadau wa Houston |
| Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta |
| Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi |
| Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV Kwa picha zaidi bofya read more |
| Mh.Sugu akiwa na Nd.Ngalawa |
| Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston |
| Sehemu ya umati wa wadau |
| Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba |
| Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
| Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
| Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
| Mdau Lenny wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
| Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
| Future M4C wa Houston |
| Wadau |
| Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe |
| Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM |
| Mdau Jerome akipokea kadi ya CDM kutoka kwa Mh.Mbowe |
| Mwenyekiti wa CDM Taifa akisaini kadi za wanachama wapya |
| Mwenyekiti wa Muda wa CDM-Houston, Bw,Fue O. Fue akiwa na Mh.Mbowe, Dada Maggie na Mdau |
| Mh.Sugu akiwa na Nd.George Kasapira |
| Mh.Mbowe akiwa na Nd.Martin Mhumbira |
| Mh.Mbowe akiwa na Nd.Andrew Sanga |
3 comments:
i love CHADEMA
Amen !!! Muda umewadia. You are either with us or against us. Choose the option that suits you .
Big up CDM!
It's your time to lead us to success.
Move on chadema move.
Vek.
Post a Comment