Marriot Hotel Houston - Ulipofanyika mkutano wa CHADEMA |
Wadau wa Houston - John na Mbowe |
Mdau Abdulkarim na Katibu wa CDM Houston Nd.Mlay |
Wadau wa Houston |
Mdau wa Atlanta, Dada Linda ndani ya nyumba |
Wadau wa Houston na Atlanta |
Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot |
Sehemu ya Wadau wa Houston wakisikiliza sera za Vua Gamba Vaa Gwanda |
Wadau Sekulu na Himid |
Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM |
Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe |
Mh.Mbowe na wadau wa Houston |
Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta |
Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi |
Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV Kwa picha zaidi bofya read more |
Mh.Sugu akiwa na Nd.Ngalawa |
Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston |
Sehemu ya umati wa wadau |
Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba |
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
Mdau Lenny wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda |
Future M4C wa Houston |
Wadau |
Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe |
Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM |
Mdau Jerome akipokea kadi ya CDM kutoka kwa Mh.Mbowe |
Mwenyekiti wa CDM Taifa akisaini kadi za wanachama wapya |
Mwenyekiti wa Muda wa CDM-Houston, Bw,Fue O. Fue akiwa na Mh.Mbowe, Dada Maggie na Mdau |
Mh.Sugu akiwa na Nd.George Kasapira |
Mh.Mbowe akiwa na Nd.Martin Mhumbira |
Mh.Mbowe akiwa na Nd.Andrew Sanga |
3 comments:
i love CHADEMA
Amen !!! Muda umewadia. You are either with us or against us. Choose the option that suits you .
Big up CDM!
It's your time to lead us to success.
Move on chadema move.
Vek.
Post a Comment