Advertisements

Saturday, August 11, 2012

MBWANA SAMATTA NA GARI LA MILLIONI 50 -MCHEZA SOKA WA KIBONGO ANAYELIPWA FEDHA NDEFU ZAIDIAkiwa ndio mchezaji aliyesajiliwa kwa fedha ndefu kutoka nchini Tanzania, Mbwana Ally Samatta anaishi ambayo mcheza soka wa kimataifa anastahili kuishi.

Akiwa ameuzwa kwa dola za kimarekani zaidi ya 100,000, kwenda TP Mazembe kutoka Simba, Mbwana Samatta analipwa kiasi cha dola 5000 kwa mwezi ambayo ni sawa na shilingi millioni 7.5 huku akichukua marupurupu ya kutosha.

Mbwana Samatta amekuwa akicheza na kuperfom kwa kiwango kikubwa katika kila nafasi anayopata anapoichezea klabu yake na kwa kiwango alichoonyesha kuna uwezekano mkubwa mkataba wake utaboreshwa zaidi na kuendelea kuvuna mkwanja mrefu zaidi.

Kwa sasa hivi Samatta amenunua gari la kisasa zaidi Chrysler Crossfire la mwaka 2006 ambalo limemgharimu takribani millioni 50 za kibongo.

Ikiwa Samatta ataendelea kucheza kiwango alichonacho sasa, basi ni dhahiri tutaendelea kuona akiishi kwenye majumba ya kifahari huku akipush magari ya gharama.

2 comments:

Anonymous said...

Bei yake at maximum ni $12,000. hiyo gari imefikaje Tshs 50,000,000? $33.000??????!
Acheni kudanganya watu.


2006 Chrysler Crossfire Coupe Limited - $10,995 Fort Eustis, VA
Listing Summary
Price: $10,995
Mileage: 62,486 miles
Transmission: 6-Speed Automatic
Exterior Color: Red
Interior Color: slate grey
Seller: Private
VIN: 1c3an69l66x069740
Major Options: Leather Seats, Alloy Wheels
More Listing Details
CarGurus Price Analysis
Great Deal
$12,750 Instant Market Value
$10,995 Listed price
$1,755 Your savings
Leverage
Normal leverage
22 days on CarGurus
Price History
$10,984 price increase
Jul 20: $11

Anonymous said...

Really Lukas....32,600...

big deal