ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 2, 2012

MHE. PINDA ATEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE MOROGORO.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mafuta ya mawese yaliyokamuliwa katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Ruvu wakati alipotembelea Banda la Jeshi hilo kwenye  maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti Mosi, 2012.
 Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua mkungu wa ndizi katika maonyesho ya wakulima Nanenane Mjini Morogoro Agosti Mosi 2012. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mzinga wa asili wa nyuki wadogo wakati alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya Wakulima Nanenane Mjini Morogoro  Agosti Mosi, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: