ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 25, 2012

MKUU WA WILAYA, SPRINGFIELD, MA ATINGA KAPITALI

Mkuu wa Wilaya Springfield, Massachusetts Isaac Kibodya akipata chakula cha mchana kijiji cha Swahili, Beltsville, Maryland na mama mwenye nyumba wake mara alipoingia DMV
 Mkuu wa Wilaya, Isaac Kibodya akiondoka Kijiji cha Swahili baada ya kupata menu ya mchana.

No comments: