Thursday, August 9, 2012

NEW YORK CITY NA UJENZI WA FREEDOM TOWER, BAADA YA WORLD TRADE CENTER KUANGUSHWA CHINI PATA PICHA






Hapa majengo yalionekana hivyo mwaka 2001 


Hapa ndo yana waka moto baada ya kushambuliwa na ndege


Hapa baada ya kuteketea kabisa naujenzi wa Freedom Tower bado kuanza 
Jengo mdogo mdogo likianza kuinuka 

Ujenzi ulivyooanza ndo panavyo onekana kwa sasa Freedom Tower imechomoza baada ya kuwa majengo ma wili kama mwanzo kutakuwa na hilo moja tu lenye urefu wa 1,776 feet (541 m) na kutakuwa na floor 104 baada ya kukamirika.


One World Trade Center ni jina litakalotumika kuitwa mahari hapa na hivi ndiyo itakavyo onekana baada ya ujenzi wake kukamiria mwaka 2013. baada ya mwanzo kuitwa World Trade Center sasa pataitwa One World Trade Center. Ukibahatika kutembelea katika jiji la New York City tembelea eneo hili na kujionea mwenewe. imeletwa na Ny Ebra , Vijimambo NYC.

1 comment:

  1. Mpwa sina uhakika kama nyumbani ni mkoa wa mara bali matumizi ya maneno yako yananishawishi,mahari hapa-mahali hapa,kukamirika-kukamilika

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake