Hapa majengo yalionekana hivyo mwaka 2001
Hapa ndo yana waka moto baada ya kushambuliwa na ndege
Hapa baada ya kuteketea kabisa naujenzi wa Freedom Tower bado kuanza |
Ujenzi ulivyooanza ndo panavyo onekana kwa sasa Freedom Tower imechomoza baada ya kuwa majengo ma wili kama mwanzo kutakuwa na hilo moja tu lenye urefu wa 1,776 feet (541 m) na kutakuwa na floor 104 baada ya kukamirika.
1 comment:
Mpwa sina uhakika kama nyumbani ni mkoa wa mara bali matumizi ya maneno yako yananishawishi,mahari hapa-mahali hapa,kukamirika-kukamilika
Post a Comment