| Nahodha wa Yanga na kocha wakimkabidhi kombel la Kagame - mdhamini mkuu wa kombe hilo Raisi wa Rwanda Paul Kagame. |
| Mama Karume na Seif Magari wakimkabidhi Kagame jezi ya Yanga |
| Paul Kagame akiongea na Wachezaji wa Yanga |
| Mchezaji Mbuyi Twite akiwa na wachezaji wenzie wa Yanga Ikulu ya Rwanda walipoalikwa na Rais Paul Kagame. |
No comments:
Post a Comment