ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 1, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO MITAA YA BRONX ,NY

 Katika pita picha ya vijimambo mitaa ya Bronx, Ny vijimambo ilikutana na Ustadh Masoud Maftah akiwa katika workshop yake ya kurekebisha magari yenye kuleta mushikri barabarani. Akiwa amevalia gwanda lake la rangi ya kijani na manjano kuashiria kuwa ni mkereketwa wa chama dume. Kwa mapenzi na imani aliyo nayo kang'arisha rangi hadi kwenye moja ya vitendea kazi vyake kama unavyo ona hapa chini. Ustadh Masoud mafta ni Mwenyekiti wa CCM tawi la New York na Vitongoji vyake. Na pia uendesha zoezi zima la ugawaji kadi za chama demu hicho.
 Hapa  Ustadh Masoud ka pozi kwenye ukodak wa vijimambo
 Huyu ni moja ya vijana wake wa kazi kwa jina ni Alex, Alex ni mchapa kazi mzuri sana na anajivunia kwa kuwepo kwake hapa kwani kazi hailali, kwani ana uzoefu wa  maaka 15  katika kurekebisha magari ya haina yote.
Moja ya mitaa ya Bronx, Ny kama unavyoona, picha  na mwanavijimambo wa New york city, Ny Ebra!

No comments: