Zainabu
Mhamila 'Super D Mmoja wa wanafunzi wanaopinga Mgomo wa Walimu
kutoingia Madarasani ambaye amesema kuwa shule yao ya Msimbazi Mseto
Walimu wao wamendelea kufundisha kama kawaida na kuwasikitikia wanafunzi
wa shule nyingine walimu kuto kuingia Madarasani kufundisha watoto hawo
ambao awana makosa yoyote |
No comments:
Post a Comment