Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dkt.Didas Masaburi wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea jijini Kampala Uganda ambapo alihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment