Juu na chini ni Dulah akifanya mazoezi wakati Timu hiyo ya Pool ya Watanzania DC ilipokua ikijifua vikali kwenye mgahawa wa Galaxy uliopo Silver Spring, Maryland.
Mechi ya mazoezi ikiendela vikali.
Musa akichuana vikali na Dulah (hayupo pichani) katika mechi ya mazoezi kwenye Mgahawa wa Galaxy uliopo Downtown Silver Spring.
Alex akiwa nae kwenye mazoezi makali wakipambana na Seif picha chini.
Seif akiendelea na mazoezi
Taji nae katika mazoezi makali
Taji akiandika matokea ya mechi hizo kama anavyoonekana
No comments:
Post a Comment