Bwana na Bibi Athumani Kikwete wakiwa wanaingia Ukumbini.
Muda Mfupi baada ya kuingia ukumbini
Maharusi wakiwa meza kuu
Muheshimiwa Dr. Jakaya Kikwete akiwa anafurahia Harusi pamoja na ndugu jamaa na marafiki
Rais Dr. Jakaya kikwete ambaye ni Baba mdogo wa Athumani akiwa pamoja na Ndugu , jamaa na marafiki wakicheza kwaito katika harusi ya Athumani
Bwana harusi Athumani pamoja na mpambe wake wakiwa wametoa Makoti yao
Sasa Mambo ya kukata keki
Keki inaendelea kukatwa
Haya sasa mwenye wivu... Mambo ndio yalikuwa hivi walipo lishana keki
Bibi Harusi akiwa anampa mkono Rais Dr. Jakaya Kikwete kwa Heshima na Taadhima huku akiwa amepiga goti
Baba Mzazi wa Athumani Kikwete mzee Selemani Kikwete Mwenye Barakashia, akiwa anafurahia harusi ya mtoto wake
Bwana na bibi Athumani Selemani Kikwete baada ya tukio zima la Harusi yao
Kushoto ni Mmoja wa wakurugenzi wa Tone media Sillas Mbuya pamoja na Ankali Issa Michuzi katika Sherehe hiyo
Mdau
Hili ndilo gali ambalo lilitumika kubeba Maharusi
PICHA ZOTE NA: WWW.BLOGSZAMIKOA.BLOGSPOT.COM
1 comment:
imependeza kwelikweli, hongera ndugu kwa kuuaga ukapera.Jambo hili ni jambo la kheri ambalo humpendezesha mwenyezi mungu,,,kwani imeandikwa kwamba ndoa ni nusu ya dini. Hongereni sana na mungu awdumisheni kwenye ndoa yenu. amina
Post a Comment