Walter Minja (kushoto) mdau wa Californi akiwa na rafiki yake Joel Chacha kutoka Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), Joel Chacha alikuwepo California kwenye maonyesho ya ITU-T IPTV-GSI yaliyofanyikia Milpitas, CA, Sept 24- 28, 2012
Walter Minja na rafiki yake Joel Chacha wakichangamusha ubongo kwa menyu wakati wa maonyenyo ya ITU-T IPTV-GSI yaliyofanyikia Milpitas, CA.
Walter Minja akiwa na rafiki yake Joel Chacha siku ya mwisho ya maonyesho ya ITU-T IPTV-GSI
.
Eng. Joel Chacha akipata ukodak moment kwenye bango la CISCO lililopo Silicon Valley, Milpitas, California, Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment