ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 10, 2012

BAADA YA VUTA NIKUVUTE NA WAANDISHI WA HABARI KOVA AKUBALI KUWEPO MAANDAMANO KESHO

Hatimaye jeshi la polisi limeruhusu kufanyika kwa maandamano ya waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kesho,kilele chake kitakuwa ni katika viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie viwanja vya mnazi mmoja.Kamanda kova athibitisha kuwepo kwa maamuzi hayo baada ya vutanikuvute. Endelea kufuatana nasi
CHANZO:MWANANCHI  

No comments: