Jumamosi ya tarehe 29/9 kulikuwa na sherehe ya shukurani ya kuzaliwa
bibie Natalie iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Michael &
Beatrice Ndejembi mitaa ya Gessner huko Houston-Texas.Kama kawaida
kamera ya VIJIMAMBO ilikuwepo kukuletea picha za matukio mbalimbali
yaliyojiri katika party hiyo iliyofana sana
| Proud Dad -Michael na Bintiye Natalie Ndejembi |
| Bingwa wa kuandaa Barbeque Houston - Victor Mpuya |
| Dj.Jimmy aka Zenden akipiga mzigo |
| Victor |
| Natalie na Aunt Geeta |
| Michael,Natalie & Aunt Geeta |
| Grayson aka Mzee wa Mbagala |
| Victor akiandaa kitu |
| Victor |
| Wadau |
| Wadau |
| Houston Future wakiwa na Mama Natalie (mwenye simu) |
| Godfrey na Benja |
| Dickson, Emmanuel na Grayson |
| Kamati ya maandalizi |
| Natalie na Mlongo |
| Wadau |
| Wadau |
| Bw.Fue O. Fue akitoa machache kwa waalikwa kwa niaba ya familia ya Ndejembi |
| Mama Myles |
| John Kijani |
| Eladius |
| Baba Imani |
| Wadau |
| Baba na mwana |
| Dr.Tenende, Mwl.Juma Maswanya na mjukuu Imani |
| Christine |
| Santos na Victor |
| Daudi |
| Sekulu na Alune |
| Ngalawa - it was fun |
| Drew |
| Ngalawa na Alune |
| Ngalawa na Alune |
No comments:
Post a Comment