ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 3, 2012

BIRTHDAY YA PAM YAKUFIKISHA MIAKA YA KIKUBWA

Pam alipoingia mlangoni na kukutana ndugu, jamaa na marafiki na kupata kigugumizi cha miguu.
Pam mkaazi wa Columbus, Ohio alifanyiwa sherehe ya kushutukiza ya siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na marafiki pale alipofikisha miaka ya kikubwa pichani Pam akitaka kuondoka baada ya kushukizwa na wimbo wa "SURPRISE"
Pam akim-hug wifi yake baada ya kufanyiwa Surprise Birthday iliyofanyika Jumapili Sept 2, 2012 Columbus, Ohio kwenye Hotel ya Best Western.
Pam aki-hug kaka yake Peter Kirigiti
Pam aki-hug rafiki yake
Pam akijiandaa kukata keki.

Patiricia dada ya Pam akiwa na baba mwenye nyumba wake.
mama mwenye nyumba wake Peter Kirigiti.
Salva akiwa ametulia akishuhudia mambo ya Birthday yanaendeleaje.
Mpwa akiwa na mwanae.
Kwa picha zaidi bofya read more



3 comments:

Anonymous said...

dj luke naomba kidogo unielisishe mkuu unamaanisha nini kila unaposema mama mwenyenyumba wake au baba mwenye nyumba wake,huwa sikuelewe na niko old fashion kiswahili cha home nikwamba ukisema hivyo huwa umepanga katika nyumba ya muhusika so please weka wazi nikufahamu samahani mkuu mimi ni old fashio kiswahili cha kileo sikipata hata chembe

mdau arizona

Anonymous said...

Mdau wa Arizona, Watu watakushangaa sana kusema kwamba hujui maana ya "MAMA MWENYE NYUMBA NA BABA MWENYE NYUMBA". Bila kuzungusha jibu, Wewe na mkeo kama umeoa ni baba mwenye nyumba na mkeo ndiye mama mwenye nyumba.

Anonymous said...

mdau mwenzangu nakushukuru sana kwa kuwasia wangu kwamba watu watanishanga,na nikweli umri umepita kiswahili cha vijana wa siku hizi sikijui wala sikiwezi kwa nini tusiseme mke wa fulani au mume wa fulani. any way shukran mdau mwenzangu kwa kunijibu kistaarabu muugwana wangu