Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Happines Millen Magese akishiriki Wiki ya Mitindo ya Mavazi ya New York nchini Marekani jana. Onyesho hilo lilishuhudiwa na nyota wakubwa kama mwanasoka David Beckham huku wabunifu wakubwa duniani wakishiriki kuonyesha mitindo yao ya mavazi kama Tommy Hilfiger, Carolina Herrera, Michael Kors, Ralph Lauren na mwanamama Tracy Reese, ambaye gauni lake lilivaliwa na mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama katika Kongamano la Kitaifa Chama cha Democratic. Mwanamitindo maarufu Naomi Campbell pia alipita stejini kuonyesha mitindo. Picha: REUTERS |
Nyota wa soka David Beckham (kulia) akisimama mbele ya muimbaji Natasha Bedingfield (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Erich Stamminger (wa pili kulia) kabla ya kuanza kwa onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Muimbaji Natasha Bedingfield (katikati) akipozi kabla ya kuanza onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Mwanamitindo akipita kuonyesha mavazi wakati wa Wiki ya Mitindo ya New York jana. |
Mwanamitindo akipita kuonyesha mavazi wakati wa Wiki ya Mitindo ya New York jana. |
Mwanamitindo akipita kuonyesha mavazi wakati wa Wiki ya Mitindo ya New York jana. |
Nyota wa soka David Beckham (kulia) akikaa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Erich Stamminger (katikati) kabla ya kuanza kwa onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Nyota wa soka David Beckham (kulia) akikaa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas, Erich Stamminger kabla ya kuanza kwa onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Wanamitindo wakijiandaa nyuma ya steji kwa ajili ya onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Wanamitindo wakipita stejini wakati wa onyesho la mavazi katika Wiki ya Mitindo ya New York ya Y-3 Spring/Summer 2013 collection jana Septemba 9, 2012. Picha: REUTERS |
Wanamitindo wakipita mbele ya hadhira wakati wa onyesho Wiki ya Mavazi ya New York |
No comments:
Post a Comment