ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 30, 2012

LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA YANGA YAICHAPA 3-1 AFRICAN LYON


Kikosi cha Yanga
Kikosi cha African Lyon
Wachezaji wa African Lyon wakisalimiana na wachezaji wa Yanga
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa African Lyon wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza (kulia) akichuana na beki wa African Lyon

No comments: