Kwa picha zaidi bofya read more
WASANII Lucas Mkenda 'Mr Nice', Seif Shabani 'Matonya', Ally Mohamed 'Z-Anto', Bi. Mwanahawa Ally wa East African Melody, Kundi la Ngoma za Asili la Nakalandima na Kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab usiku wa kuamkia leo wamefunika vilivyo katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Picha na GPL
No comments:
Post a Comment