WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI MISUNGWI
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji Cha
Matale wilayani Misungwi katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba
15,2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza MhandisI Evarest
Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga.
Mmoja
wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa mpira wa misungwi akiwa katika
ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment