haya ndo maneno ya kuandika bwana mdogoluke mr and mrs etc siyo baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba kutuharibia kiswahili chetu nakupa hongera sana tena sana kwa kuandika maneno haya na kwa lugha yetu adhim usisite kuandika bwana na bibiye etc shukran sana leo umenifurahisha sana kwa kuandika hivi
na nawatakia kila la kheri wana ndoa hapo juu mungu akulindeni na mafisadi katika ndoa yetu amin
1 comment:

mdau arizona
Post a Comment