ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 18, 2012

Waziri wa Mambo ya Ndani. Dk. Emmanuel Nchimbi Azindua Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Mkoani iringa yenye Kauli Mbiu “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani. Dk. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Salim Ahmed Jabri Sasi, baada ya Waziri kuwsili uwanja wa Samora Iringa.
Msanii wa Kundi la Vichekesho, Mkwere kutoka kundi la Mizengwe akiigiza kama Askari wa Usalama wa Barabarani akisimamisha magari wakati wakitoa burudani katika Uzinduzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama iliyozinduliwa leo mjini Iringa katika Uwanja wa Samora. Maadhimisho hayo yameanza leo Septemba 17-22, 2012. Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”

No comments: