Advertisements

Tuesday, September 4, 2012

Yaliyojiri uwanja wa fisi kwenye uzinduzi wa album ya injili "YASAMEHE BURE"


Madam Ritha akisindikizwa kuelekea jukwaani
 Wanafamilia na watoto mbalimbali pia walijitokeza kuchangia siku hiyo
akiinadi albamu hiyo yenye picha yake nyuma
akikata utepe kuzindua
 Katika picha ya pamoja na Paschal
Mdam Rita akichangisha fedha za kwa ajili ya huduma ya kuwasaidia machangudoa wa Uwanja wa Fisi
wadau mbalimbali walijitokeza kununua albamu hiyo
umati mkubwa wa watu ulihudhuria

No comments: