![]() |
| P-Diddy amepata ajali maeneo ya Beverly Hills hotel Los Angeles Marekani. Baada ya gari lake kupata ajali na kumsababishia majeraha mbalimbali kwenye mwili wake.. |
P Diddy akiwa chini
Polisi akichukua maelezo ya ajali
Gari ya P Diddy lilinavyoonekana kwa mbele baada ya kupata ajali




No comments:
Post a Comment