ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 26, 2012

RAIS DK SHEIN ASHIRIKI SALA YA EID EL HAJJ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine
wakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya EID el Hajj
katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo
Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba,baada
ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa
Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya
Kiislamu baada ya kuswali swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa
Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: