Jumuiya inabidi ifanye jitihada za outreach ili iweze kuwafikia watanzania wote walioko DMV. Imekuwa kama vile ni jumuiya ya Silverspring na Dc tu. Kama mna idadi ya watanzania 5000 je mmefanya jitihada gani kuwasilian anao??? kwa mfano Sisi wa Frederick hatufikiwa, hata kampeni zilielekeza huku huko mjini na sio nje ya mji. Alex
Jumuiya inabidi ifanye jitihada za outreach ili iweze kuwafikia watanzania wote walioko DMV. Imekuwa kama vile ni jumuiya ya Silverspring na Dc tu. Kama mna idadi ya watanzania 5000 je mmefanya jitihada gani kuwasilian anao???Kwa mfano watu wa nje ya mjini hatuwafikia kabisa na Jumuiya. nazungumza toka Frederick, hata kampeni mlizielekza huko huko mjini
Suggestion,jumuiya inabidi kueplore another option ya insurance. Pia zipo group insurance kama jumuiya tax code inaquelified kwa group insurance ambayo kwa mwezi ni kama $16.00
Sawa tunakuliana lakini Maryland inahusicha Baltimore, Elicot city, hagestown, eastern Maryland, Frederick, Annapolis, kikao kingine mbadilishe venue sio kila siku hapo hapo Mirage hall, mtufikie wapiga kura wenu
Digital era,utafutwe nyumbani nani ana muda,kila mtz kaona address wenye uzalendo wanajitokeza,outreach my foot,wabongo kuweni aggressive na maendeleo tuache blablah!
Big up Dj Luke,kazi ya kujitolea kwelikweli,Mungu akubariki,hata senti halipwi angeza tumia muda huu kwengine,huu ndio uzalendo unaotakiwa. Je wanataaluma watz mko wapi,mwanzo mgumu but the future is bright.
This is 2012 people who gat time to call u to tell u about the meeting..kama wewe ni mtanzania unajua blog zetu zinaeoweka matangazo naming vijimambo na swahili villa na mostly facebook. unless huna internet which i doubt. Mimi naishi germantown exit 15 na i never miss mkutano wowote. Na tunawatanzania wengi in Frederick nawajua kwa majina wachache nawaona kwenye everything in our jumuiya. Mzalendo husubiri kupigiwa private call.u see the mkutano advertisement you show up then utuambie malalamiko yako ya venue tutaelewa kuwa unania nzuri
11 comments:

Jumuiya ina website? Kama hatuna napendekeza ianzishwe. Avati.
Suggestion,jumuiya inabidi kueplore another option ya insurance. Pia zipo group insurance kama jumuiya tax code inaquelified kwa group insurance ambayo kwa mwezi ni kama $16.00
Sawa tunakuliana lakini Maryland inahusicha Baltimore, Elicot city, hagestown, eastern Maryland, Frederick, Annapolis, kikao kingine mbadilishe venue sio kila siku hapo hapo Mirage hall, mtufikie wapiga kura wenu
Digital era,utafutwe nyumbani nani ana muda,kila mtz kaona address wenye uzalendo wanajitokeza,outreach my foot,wabongo kuweni aggressive na maendeleo tuache blablah!
Good job Luck kwa kutufikishia ujumbe huu live-
Big up Dj Luke,kazi ya kujitolea kwelikweli,Mungu akubariki,hata senti halipwi angeza tumia muda huu kwengine,huu ndio uzalendo unaotakiwa. Je wanataaluma watz mko wapi,mwanzo mgumu but the future is bright.
This is 2012 people who gat time to call u to tell u about the meeting..kama wewe ni mtanzania unajua blog zetu zinaeoweka matangazo naming vijimambo na swahili villa na mostly facebook. unless huna internet which i doubt. Mimi naishi germantown exit 15 na i never miss mkutano wowote. Na tunawatanzania wengi in Frederick nawajua kwa majina wachache nawaona kwenye everything in our jumuiya. Mzalendo husubiri kupigiwa private call.u see the mkutano advertisement you show up then utuambie malalamiko yako ya venue tutaelewa kuwa unania nzuri
Kwa sababu misiba imekuwa mingi,na si wote wanataka westadi,je ngudu Idd,rais jumuiya dmv,tunaweza kupata life insurance kama members?
Mdau hapo juu labda iwe group request ktk insurance companies zilizopo usa,ndio unachomaanisha? Bwana Iddi hii inawezekana?
Post a Comment