ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 21, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK WEEKEND

VIP Table ndani ya Club & Lounge  Allure pita pita ya vijimambo 

 Mambo ya Club & Lounge Allure, mambo ya weekend hayo kamera ya "Viji" in house kupata taswira za hapa na pale fuhatilia picha na matukio ndani. 
Ally, kati Bree na mwisho na Pumpkin Pie wakipata ukodak


 Ny Ebra akiwekwa kati na dada zake wapendwa Bree na Pumpkin Pie
 Mahundi Family wakipata ukodak

 Mdau kutoka DC nae ndani ya nyumba uso kwa uso na vijimambo akila bata ndani ya NYC


No comments: