Zuwena Mohamed ‘Shilole’
Stori:Erick Evarist
KUNA tetesi kuwa, penzi lililokuwa limekufa kati ya mwigizaji wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na
Mwanahabari wetu aliwatafuta hewani wote, lakini Shilole ndiye aliyepatikana, akafunguka:
“Kwani tatizo lipo wapi tukirudiana? Mbona hamuwashangai akinaMbongo Fleva, Elias Barnaba limerejea kwa ari, nguvu na kasi mpya.
“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa ‘veri klozi’ nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.
Chris Brown na Rihanna? Mapenzi ni upofu acheni hizo,” alisema Shilole.
Elias Barnaba


1 comment:
si anamke huyu barnabas au mama mwenye nyumba wake aliye zaa naye na halafu wewe mtoto wakiislamu mbona huweeleweki unajishobowa tu wana wasio dini yako tulia maaa upate kuolewa si ulisema unataka mume hutaki boyfiend katika interview yako sasa iweje umekuwa kinyonga na kigeugeu
Post a Comment