Basi hilo liliwaka moto likiwa safarini, lakini kwa habari zilizopatikah akuna yeyote aliyepoteza maisha. Kwa wale wakazi wa kanda ya kaskasini wakiona picha hii inaweza kuwakumbusha mengi hasa kwa huduma zake mzuri kipindi hicho mabasi haya yalivyotoka.
watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto. Picha kwa Hisani ya Jamii Forums |
No comments:
Post a Comment