Dr. Mary Nagu akiongea siku ya mwisho ya East Africa Chamber of Commerce Dallas, TX, Dr Mary Nagu ni minister of State, Prime Minister's Office Investment and Empowerment.
 |
| Hon. Enos Bukuku (EAC) Deputy Secretary General |
Picha ya pamoja na Mh. Dr, Mary Nagu, Hon. Enos Bukuku,
Mr. Paul Mwafongo Minister Plenipotentiary, Economics Affairs ambae alimwakirisha Mh. Balozi Majaar katika mkutano huo washiriki wengine ambao walihuzuria mkutano huo uko Dallas, TX.
hapa ni CEO wa ESM Travel Elias Mwita kutoka Chicago akipata ukodak na wadau wa Dallas.
No comments:
Post a Comment