ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 30, 2012

GODFREY NA JOYCE NI KITU KIMOJA SASA

Wakati wa kuvishana pete kama ishara ya kutimia kwa tendo la ndoa


Godfrey akionyesha cheti cha ndoa


Godfrey Aloyce Massawe akiwa na mkewe Joyce Emmanuel Oisso mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Maria  Clareth-Kimara Mwisho,tarehe 27 oktoba 2012


No comments: