ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 30, 2012

JE HII NI BIASHARA AMA KERO?

Vijana wanaouza biashara zao kwenye barabara ya Mandela wakiwa wamedandia lori,je kuongezeka kwa vijana hawa kwenye bara bara hizi ni dalili nzuri kibiashara ama kero kwa watumiaji wa barabara? je suala zima la usalama linachukuliwaje na mamlaka husika?

No comments: