Dada akiweka sign yake katika picha ya Marehemu Patrin Kibelloh ukumbini hapo ambapo paliandaliwa chumba mahalum kwa watu kuingia na kusign.
Hafsa akiwaonesha jinsi ya kusakata zuku wapenzi waliokuja kushuhudia show yake
Wapenzi wa zuku wa Boston, MA wakipata burudani kutka kwa Hafsa Kazinja
Dj Masoud akipata taswira ya hapa na pale katika show hiyo ya Hafsa
Wapenzi wa zuku wakiwa sambamba na Hafsa ukumbini hapo
Hapa mambo ya mepamba moto kila mtu akisakata zuku lilikuwa linatumbuizwa na Hafisa
Dj Rich na Dj Masoud wakihakikisha kila kitu kinaenda sawa ukumbini hapo hawa na maDj bora kabisa Boston,MA wakifanya kazi yao kwa uwakika kabisa live bila chenga.
Hapa ni ma Eddy katika akiwa namarafiki zake katika show Hafsa wakipata ukodak
Hapa ni Hafsa Kazinja akipata ukodak na bossi wake anaesimamia mpango mzima wa show zake hapa U.S.A
| Mkuu wa wilaya ya Springfield bwana Kibodya katikati akipata ukodak ndani ya ukumbi huo wa Maddy's Lounge katika show ya Hafsa Kazinja |
Dj Masoud akipata ukodak na Hafsa na dada Fatma katikati wakiwa ukumbini hapo, kwapicha zaidi ya yale yote yaliyo jili katika show hiyo bofya (read more)
No comments:
Post a Comment