
Treni za New York zimefungwa
Picha juu na chini ni mafuriko yanavyoonekana kwenye mji wa New Jersey
Sehemu ya mji wa New Jersey kama inavyoonekana
Mvua kubwa inayoendelea kushesha yenye upepo mkali (Hurricane Sandy) ilivyoleta mafuriko kwenye miji ya New York na New Jersey
Baadhi ya watu ambao nyumba zao zimejaa maji wakiwa wamepatiwa hifadhi ya muda
Stock Exchange ikiwa imefungwa
Wingu zito huku mvua ikionekana kuendelea kunyesha kama inavyoonekana kwenye snamu ya Liberty iliyopo New York
Maji ya mto Hadson yakifurika kwenye nyumba zilizopo kandokando ya mto huo
Hali si shwari wakaazi wa miji hiyo wametakiwa kutulia nyumbani mpaka siku ya Jumatano
Picha kwa hisani Zavara mponjika (Ramson)









No comments:
Post a Comment