Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka
wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya
vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA)
serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha
Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili
mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu
Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati
endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar
mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Dk. Jabir Kuwe Bakari, Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao, akitoa mada kuhusu wakala huo kwa wajumbe
kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri
na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na
utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma




No comments:
Post a Comment