ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 18, 2012

KHERI AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI

Mchezaji wa Stars United anaeishi Jimbo la Maryland, nchini Marekani, Yahaya Kheri amefanyiwa upasuaji wa goti lake la kulia lililokua linamletea maumivu makali baada ya kugongana mapema mwaka huu na mchezaji  mwenzake kwenye mazoezi ya kila Jumamosi yanayojumuisha wachezaji kutoka timu mbalimbali wanaokutana kwenye uwanja wa Bel pre kwa kujiweka sawa baada ya timu zao kusimama kufanya mazoezi kwa sababu ya msimu wa baridi. 

Kwa sasa anaendelea vizuri Viongozi na wachezaji wenzake wa Stars United na wapenda michezo wote Duniani hususani mchezo wa mpira wa miguu wanakupa pole na kukuombea upate nafuu haraka.

1 comment:

Ebra said...

Get well sooner son....!!