ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 17, 2012

MHESHIMIWA NABII GEOR DAVIE AWATAKIA WAFANYABIASHARA ARUSHA BARAKA



 Nabii Geor Davie akiwa anawasili katika kituo cha mabasi madogo cha Arusha sehemu ambayo aliandaliwa kwa ajili ya kuwatakia baraka wafanyabiashara wa Arusha pamoja na wananchi wa jiji hilo kwa ujumla
 Wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wa muda mfupi
 Pichani wananchi wakiwa wanamsubiri nabii


 Akishuka kwenye gari
 Mpiga picha  ambaye kwa habari ambazo libeneke limezipa zinadai kuwa ni mtoto wa kwanza wa nabii akiwa anaendelea kufanya kazi yake
 Wananchi wakiwa wengine wamepanda juu ya vibanda kwa ajili ya kupokea baraka

Mara baada ya nabii kuondoka standi ndogo ilisemekana ameenda katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid hivyo waumini wengi wa ngurumo ya upako walienda kumsubiri nje ya geti la uwanja huo ambao leo hii pia utakuwa na mechi ya timu ya Jkt Oljoro pamoja na African lion, hivyo wafuasi hao kuzuiwa kuingia.

Na Arusha yetu.

No comments: