Familia
ya MUSIKA wa DMV inawatangazia kwamba
kutakuwa na Ibada ya shukurani itakayofanyika Jumapili katika kanisa la
The way of the Cross Gospel Ministries.
3621 Campus
Dr,
College Park, MD 20740.
Ibada
ya Shukurani itaanza saa saba mchana hadi saa tisa. Na baadaye kutakuwa na
chakula cha pamoja.
Wote
mnakaribishwa kushiriki katika ibada hii.
1Wathesalonike 5:18 "Shukuruni
kwa kila jambo maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo."
Kwa
maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:
Yvonne
Matinyi -------------301-792-3482
No comments:
Post a Comment