ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 25, 2012

MWANAMUZIKI FREDDY KANUTI AFARIKI DUNIA




Mwanamuziki mwingine afariki, Mwanamuziki mpiga Bass Freddy Kanuti ambaye anatoka katika familia ya wanamuziki, ambayo siku za karibuni walianzisha bendi ya familia PFJ Band amefariki dunia jana wednesday, oct 24. Mungu amlaze pema peponi.

No comments: