ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 25, 2012

NYUMBA YA KIONGOZI WA BAKWATA ARUSHA YAPIGWA BOMU, WAUMINI WAJIANDAA KUANDAMANA

Kuna taaifa kwamba nyumba ya Katibu mkuu wa baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoani Arusha imerushiwa bomu usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana na habari hizo zimeendelea kusema kwamba waumini wa Dini hiyo ya Kiislamu mkoani Arusha wanajiandaa kufanya maandamano ya amani

No comments: