ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 2, 2012

POLISI KAMA HAWA WANASTAHILI KUWAJIBISHWA AU?

Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanahoaminika kuwa ni wakali zaidi ya polisi wanawaita FFU.

No comments: