ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 25, 2012

RAIS OBAMA APIGA KURA MAPEMA


Rais Barack Obama ameweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza kupiga kura mapema katika historia ya Marais Marekan. Rais Obama alipiga kura jioni ya Alhamisi ya October 25, 2012 kwenye mji wake wa Chicago, IL zikiwa zimebaki siku 12 za uchaguzi wa Urais ambao umekua gumzo kubwa hapa Marekani kutokana na kura za maoni kuonyesha matokeo kupishana asilimia chache tofauti na matarajio ya wengi na sababu kubwa wanafikiri ni Debate ya kwanza ambayo Rais Barack Obama hakufanya vizuri

No comments: