ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 28, 2012

Re-broadcast live TZ DMV Meeting


Rais wa Jumuiya Bwn. Idd Sandaly akielezea jambo.
Wanajumuiya wakifuatilia jambo

LEO JUMAPILI OCTOBER 28, 2012 SAA 12 JIONI  TUTARUSHA VIDEO YA MKUTANO WA WANAJUMUIYA ULIOFANYIKA MIRAGE HALL OCTOBER 21, 2012 KAMA ULIKOSA KUHUDHURIA MKUTANO AU KUFUATILIA KWENYE VIJIMAMBO ILIPOKUA UNARUSHA LIVE HUU NDIO UTAKUA WAKATI MUAFAKA WA KUJUA YALE YALIYOZUNGUMZWA PAMOJA NA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

No comments: