Advertisements

Tuesday, October 23, 2012

Sadifa aibuka mshindi UVCCM



Na Salma Said
Sadifa Juma Khamis ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM na Wagombea waliokuwa wanawania nafasi ni hawa hapa Kutoka kushoto, Lulu Abdalla Mshamu ambaye alijitoa wakati akijieleza kwa wajumbe,Khamis Sadifa Juma na Msaraka Rashid Simai ambao ndio waliochuana

No comments: