ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 21, 2012

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku vipindi vyote kwenye redio na televisheni vya kikundi cha dini cha Uamsho.


1 comment:

Anonymous said...

mwisho ya yote haya zanzibar nchi huru si tena koloni la tanganyika na yenye kupepea bendera yake un na kuwa na kiti chake kama hapo zamani.

fanyeni mfanyavyo lakini zanzibar huru yenye mamlaka kamili itapatikana very soon inshallah Amin ya rabii lalalamin.