Watoto wakiimba na kusubiri zawadi zao katika Sherehe ya Eid Al Haji iliyofanyika Haraldsgade 69, Copenhagen nchini Denmark na kuhudhuriwa na Watanzania wakiwemo marafiki zao.
Bi Aisha katika Pozi zito
Bi. Sanura alikuwepo kuwakilisha
Bi. Lilian nae alikuwepo ndani ya nyumba
Mrembo jina lake halikuweza kupatikana akionyesha manjonjo yake
Dj Anil Nanji akifanya vitu vyake.
Bi. Mariam wa Galaboy na Bi.Sabrina
Mkuu Mbuzi waweza kumuita Beberu au mtalaam wa birian naye alikuwepo
Melchior akiwa na mwanachuo mwenzake
Kuliwepo pia michezo ya watoto na watu wazima
Hapo Da' Sada kama anasema abiria chunga mzigo wako.
No comments:
Post a Comment